AJALI: HOOD LAUA WATANO ARUSHA


Muonekano wa basi la Hood kwenda Mbeya baada ya kugongana na Hiace eneo la Kilala, Arusha asubuhi ya leo.
Wananchi wakiwa wamekusanyika baada ya basi la Hood kwenda Mbeya kugongana na Hiace eneo la Kilala, Arusha.
Muonekano wa Hiace hiyo kwa mbele baada ya ajali.
Watu 5 wamekufa baada ya basi la Hood kwenda Mbeya kugongana na Hiace eneo la Kilala, Arusha asubuhi ya leo, wengi wajeruhiwa.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger