HIKI NI KISA CHA MAPENZI KINACHOHUSIANA NA SIMU, SOMA UONE MTU ALIVYOMEZA SIMU KISA MICHEPUKO

Screen Shot 2014-08-01 at 8.50.06 AMKuna zile habari ambazo hata ziwe zimetokea miezi au miaka mingapi nyumba, huwezi tu kuzisahau kwa sababu sio za kawaida kuzisikia au kuzishuhudia kabisa.
Tumekua tukisikia visa vingi sana vinavyotokana na mapenzi, yani pale Mwanamke au Mwanaume anakuta msg za ajabu baada ya kuchukua simu ya mpenzi wake ila hii ya Brazil ilivunja rekodi. Screen Shot 2014-08-01 at 8.33.09 AM 
Ilitokea kwa binti mmoja kumeza simu muda mfupi tu baada ya boyfriend (Renato) wake kutaka kusoma msg ambapo msichana alikimbia na simu kutoka kwenye mikono ya boyfriend na kuimeza kwa kuhofia angeikamata simu.
Ilibidi akimbizwe hospitali na kufanikiwa kutolewa hiyo simu tumboni ambapo haikujulikana ni nini ambacho mrembo huyu alikua anakificha kwa boyfriend wake ila iliripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari duniani kwamba tayari mrembo huyu alikua na mwanaume mwingine nje ya uhusiano.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger