MASIKITIKO: MILIPUKO YA GASI YAUA 22 TAIWAN

Moto uliozuka baada ya milipuko ya gesi nchini Taiwan.
Magari, barabara vikiwa vimeharibiwa na milipuko hiyo.
Mmoja wa majeruhi akitolewa eneo la mlipuko.
WATU 22 wamefariki dunia huku 270 wakijeruhiwa baada ya milipuko kadhaa iliyosababishwa na kuvuja kwa gasi kutokea katika jiji la Kaohsiung nchini Taiwan jana usiku. Mlipuko huo uliosababisha moto mkubwa ulipindua magari, kuharibu barabara na baadhi ya majengo.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger