Mnanikosea! mwigizaji wa sinema za Kibongo, Mayasa
Mrisho ‘Maya’ amefunguka kuwa watu wanaomsema kuwa amepotezwa kisanaa
wanamkosea kwani anafanya sanaa kwa malengo.
Maya alitoa kauli hiyo wikiendi iliyopita baada ya kusambaa kwa
taarifa mitandaoni kuwa amepotezwa kisanaa na wasanii chipukizi kiasi
cha kumfanya asisikike kama zamani.
“Sijapotezwa, kwenye sanaa kila mtu ana mipango yake, mimi
sikurupuki, nafanya sanaa kwa malengo, hata sasa hivi nipo lokesheni
Bagamoyo,” alisema Maya.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment