JACK
Pentzel mwigizaji wa kike wa filamu Bongo anatamani kuzaa watoto watatu
tu katika maisha yake ya ndoa, kwani anaamini ndio idadi anayoweza
kuitunza na kuipa elimu Bora, asingeweza kufuata idadi ya mtu mwingine
mwenye kuzaa watoto wengi au chini ya hao.
. “Nilijipangia katika maisha yangu kuwa nikiwa katika ndoa yangu nizae watoto watatu tu, nahitaji watoto wangu wasome waishi maisha bora na kuwa afya njema, sitaki kuwa na familia nitakayoshindwa kuhimudu,”anasema Jack. Msanii huyo anazidi kuelezea kuwa kwake yeye hana chaguo la jinsia gani angependelea kwake watoto atakaozaa iwe wa kike au kiume yeye atafurahia kwani anaamini mapenzi ya watoto kwa wazazi wao utegemea sana malezi ya mapenzi kutoka kwa wazazi wao.

No comments:
Post a Comment