AJALI ZAENDELEA KUFULULIZA, NYINGINE YAUA MBEZI JIJINI DAR
Mwili wa mwanamke mmoja ambaye hakufahamika jina lake baada ya kukanyagwa na lori na kupoteza maisha.
Msamalia mwema akiufunika mwili wa mwanamke huyo.
Baadhi ya wananchi wakiwa eneo la ajali.
MWANAMKE mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja amepoteza
maisha baada ya kukanyagwa na lori lenye namba za usajili T277 CLY leo
katika maeneo ya Mbezi Tanki Bovu, jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment