MAAJABU: SAMAKI MWINGINE WA AJABU AONEKANA UFUKWE WA PEMBA,WANANCHI WAJIPATIA KILAJI KIULAINI


Wafanyakazi wa Uvuvi pemba wakimpima Nyangumi aliyeonekana Pemba akiwa ameanguka ufukwe wa bahari wa shamiani.


Wananchi wakikata minufo ya Nyangumi aliyeangukia katika ufukwe wa Pemba bahari ya Hindi maeneo ya shamiani, kama wanavyoonekana pichani wakiwa katika harakati hizo.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger