Akizungumza na paparazi wetu, Shilole
alisema lengo lake lilikuwa ni kumtambulisha mpenzi wake kwa mashabiki
wake japo walimkataa kuwa shemeji yao.
“Wakati namtambulisha Nuh kwa wakazi wa Tabora kuwa shemeji yao
kiukweli nilishindwa kuelewa kwa nini nilizomewa ila ninachoweza kusema
tena wakubali, wakatae Nuh atabaki kuwa shemeji yao tu,” alisema
Shilole.
SHILOLE: SIWEZI KUACHANA NA NUH KAMWE
KUFUATIA varangati lililotokea Tabora katika Tamasha
la Serengeti Fiesta 2014, baada mpenzi wa mwanamuziki wa mduara,
Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ kukataliwa na
mashabiki, Shilole ameamua kufunguka kuwa Nuh atabaki kuwa mpenzi wake
katika hali yoyote.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment