VIDEO: MCHUNGAJI AFUMWA AKIMLA URODA MREMBO WAKIWA GEST

yaan nisheeda...Wakazi wa eneo la Rosters jijini Nairobi, Kenya walishuhudia kioja si haba wakati mchungaji wa kanisa moja liliko mtaani pumwani alipofumaniwa na mke wa wenyewe kwenye tendo la ndoa. Hata hivyo, mchungaji huyo alijitetea kuwa alikuwa kwenye pilkapilka za kutoa huduma. Jionee. cheki video hapa chini

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger