Showing posts with label HUDDAH. Show all posts
Showing posts with label HUDDAH. Show all posts

HUDDAH MONROE: NAACHA KUVAA NA KUPIGA PICHA ZA UCHI KUANZIA LEO NI HIJAB KWENDA MBELE, MUONE ALIVYOTOKELEZEA

Inatia hamasa sana kwa kuona mastaa wengi na wa nchi tofauti wakionyesha heshima na support kwa waislamu kwa kuuheshimu mwezi huu mtukufu na kuanza kupigilia mavazi ya stara ambayo mara nyingi huwa yanavaliwa na waislamu duniani, okay msanii huddah monroe leo ameamua kutupia nguo ya stara ikimuonyesha amejifunika kwenye maumbile yake ya mwili ikiwa kama ishara ya kuwasupport waislamu wote duniani, okay mtandao wa makubwahayablog unapenda kumpa pongezi staa huyo kwa ushujaa aliofanya na support ya nguvu kwa waislamu wote, atleast u have shown some respect in this month of ramadhan
Read more >>

VIDEO: HIVI NDIO MDADA HUDDAH ANAVYOTEMBEA HUKU AKILITIKISA WOWOWO LAKE, ANGALIA MWENYEWE VIDEO HII

 
Hawa dada zetu watatumaliza......Baaada ya Agnes Masogange kuturusha na Video Clips akiwa anatembe huku akitikisa mkia wake Mwanadada aliekuwa mshiriki wa BBA kutokea Kenya, Huddah Monroe nae ametupia Video Clip akiwa anafanya hivyo hivyo.... Jionee mwenyawe hapa chini mdau wangu!!!
Read more >>
 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger