NELSON MANDELA AKIMBIZWA TENA HOSPITALI...!!
Taarifa ya Serikali ya Afrika Kusini inasema kuwa Rais wa zamani wa Taifa hilo, bwana Nelson Mandela amepelekwa hospitalini alfajiri ya siku ya leo, Jumamosi, Juni 8, 2013 kwa matibabu ya maradhi ya mapafu yanayojirudia rudia na kusabababisha hali yake kuendelea kudhoofu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment