MSANII nguli wa Filamu nchini, Jacob Steven 'JB' akifanya mazoezi The Atriums Hotel kwa ajili ya maandalizi ya mpambano wa ndondi kati yake na Mbunge wa Kinondoni, Idd Azzan utakaofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Julai 7 mwaka huu katika Tamasha la Usiku wa Matumaini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment