Afunguka
na kusema “Naapa kwa Mungu wangu katika maisha yangu haitatokea kamwe
nikamdharau Diamond, thamani yake kwangu itabaki palepale”.
MTANGAZAJI wa Kituo cha Televisheni cha DTV, Peniel Mungilwa ambaye ni
zilipendwa wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnum’
amesema katika maisha yake haitatokea akamdharau kwa kumkashifu hata
kama si wake tena.
Akipiga stori
na paparazi wetu, mwanadada huyo alisema japo kwa sasa ametofautiana na
Diamond aliyeweka wazi kwamba yupo na Wema Sepetu hawezi kuwa na chuki
dhidi yao.
“Naapa kwa Mungu wangu katika maisha
yangu haitatokea kamwe nikamdharau Diamond, haijalishi yupo na nani kwa
sasa, thamani yake kwangu itabaki palepale hamuwezi jua namheshimu kiasi
gani yule mtu,” alisema Penny.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment