PAUL WA P-SQUARE KUOA MWEZI UJAO

Ndugu yake Peter alifunga ndoa mwaka jana mwezi wa 11 na harusi yake ilikuwa na watu kama Don Jazzy,Genevieve Nnaji,May D,Emanuel Adebayor,Diamond na wengine.

Baada ya miezi mitatu hivi sasa ni zamu ya Paul Okoye ambaye anatarajia kufunga ndoa mwezi wa tatu na mchumba wake Anita Isama.

Msemaji wa P Square amesema Paul na Anita wamechagua tarehe hiyo na kuamua kuiweka wazi kwa marafiki na mashabiki wao.
Wawili hawa tayari wana mtoto wa kiume na wamekaa muda mrefu kwenye uhusiano wao hadi hivi sasa kuamua kufunga ndoa.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger