skip to main |
skip to sidebar
PICHA ZA KUTISHA: MTU MMOJA AJERUHIWA NA MAMBA HADI KUFA PAPO HAPO, KOROGWE MKOANI TANGA
Inatisha
sana ndugu msomaji, Amakweli mamba ni hatari. Habari kamili bado
inafatiliwa hivyo endelea kuwa nasi
Baadhi ya wanakijiji wa Korogwe wakiushangaa mwiri wa mtu huyo ambaye jina lake halikuweza kutambulika kwa haraka.
M/mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.
-masainyotambofu
No comments:
Post a Comment