BLUE AFUNGUA ALICHOMFANYA DAMOND KUCHUKUA MADEM AMBAO TAYARI BLUE KASHAWAMEGA, NAJ, WEMA NA WENGINE

 
Vitu vingine ni vigumu kuvifikiria kirahisi mpaka uwe makini sana kwa mfano hili la blue na diamond, ni kweli hawa jamaa wanafanya vizuri katika mzic wa bongoflava na wameweza kumantain kuwa kwenye chat kwa mda mrefu sana bila kuchuja, lakini utafiti umeonyesha kwamba inasemekana diamond platinumz anachukua mademu ambao blue kashatoka nao kitambo , ngoja sasa nikupe hii kama unakumbukumbu vizuri blue ndio 


alikua mtu wa kwanza kutoka kimapenzi na wema sepetu kabla ya kina kanumba, Charles baba na TID , lakini baada ya blue kutemana na wema diamond akamzoa fasta kabla ya kutemana nae pia kwa mda, wakati diamond akijiachia na wema blue aliopoa motto mwingine shombe wa kihaya na kihindi si mwingine ni Naj,  alidumu nae pia wakatemana hawajakaa sawa platinum kama kawaida akambeba fastaa japo badae alimtemana kujiachia na watoto wengine kina jokate na badae penny na wema tena ambaye yuko nae hivi sasa, sasa haijulikani je diamond huwa anamchapia mr blue au anawachukua wakishaachana rasmi na blue…. 

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger