Mkali wa Bongo Dansi kutoka Bendi ya Mashujaa, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’ akiwa kwenye ofisi za Global Publishers.
Akistorisha na paparazi wa kona hii, Sajenti alisema: “Mimi siwezi
kumpa Chaz Baba mtoto wangu kwa sababu tangu akiwa mchanga namlea
mwenyewe.“Isitoshe mimi nimelelewa na mama yangu aliyenizaa, kwa nini nimtoe mwanangu kwa mama ambaye hajamzaa? Nasema nitamlea mwenyewe, hata nikifa ataendelea kulelewa na dada yangu, siyo mke wa Chaz.”
No comments:
Post a Comment