Msanii wa filamu anayeweza kushika kipande chochote na kufanya vizuri, Charles Magali maarufu kama Mzee Magali amesema yeye si mzee bali anatumia jina hilo kwenye sanaa na bado ana nguvu kama za miaka 20 iliyopita.....
Alisema
kuwa wapo vijana ambao wanaonekana ni wabichi lakini hawana
nguvu kama zake, hivyo hawawezi kujifananisha naye hata kidogo,
ingawa kwa upande wake anatunza heshima kutokana na kuwa na familia
....
"Ndani
ya tasnia yoyote hakuna mzee, mimi naweza kushika pati yoyote na
nikaifanya vizuri. Kwenye maisha ya kawaida wapo vijana wa miaka 20
lakini hawana nguvu, wamechoka na hawawezi kujifananisha na mimi," alisema
No comments:
Post a Comment