KAULI YA DIAMOND MARA BAADA YA DAVIDO KUTANGAZWA MSHINDI WA TUZO YA BET

Screen Shot 2014-06-29 at 9.53.47 PM
Dakika kadhaa baada ya mshindi wa tuzo ya BET 2014 kwa wasanii wa Afrika kutangazwa kuwa Davido wa Nigeria, staa kutoka Tanzania Diamond Platnumz

aliekua anawania pia tuzo hiyo ameandika ya moyoni kwa watu wake.Tusipopenda kukubali matokeo na ushindi wa wenzetu basi daima hatutaweza kuwa
washindani, muhimu ni kujua wapi tulipotoka na wapi tulipo leo, katika nchi zaidi ya 20 zenye wasanii zaidi ya milioni 40 kuchaguliwa Tanzania ni fursa, heshima na hatua kubwa, cha muhimu ni kuitumia vyema fursa hii na kuhakikisha mwakani tunapiga hatua, asante sana kwa wote wanaozidi kunisupport’

Screen Shot 2014-06-29 at 9.45.57 PM

 

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger