"Ni
kweli ni picha zangu, nilipigwa na boyfriend wangu wa zamani, Frank
ambaye ni mdogo wake Queen Suzy (Suzan Chubwa). Najuta sana kukubali
kupiga," alisema huku akimwaga machozi.
"Kipindi
nikiwa na Frank, niligundua ana mwanamke mwingine nikamwambia aachane
naye, lakini nikaambulia kipigo. Hata mama yangu alikuwa hataki mimi
niwe naye maana alikuwa akinigeuza ngoma kwa kipigo.
"Niliongea na wifi
"Niliongea na wifi
Suzy
(Queen) akasema atazungumza naye, lakini haikusaidia kitu. Nikaamua
kuachana naye. Ndipo aliponipigia simu na kuniambia atanifanyizia kwa
sababu alikuwa na picha zangu za utupu.Suzy
(Queen) akasema atazungumza naye, lakini haikusaidia kitu. Nikaamua
kuachana naye. Ndipo aliponipigia simu na kuniambia atanifanyizia kwa
sababu alikuwa na picha zangu za utupu.
"Kwa kuhofia aibu, nikakubali kurudiana naye, lakini tabia zake zikazidi kunichefua, baadaye nikaachana naye jumla. Alinipigia simu kunitisha kuwa akinikuta na mwanaume mwingine atanishikisha adabu, lakini sikujali

No comments:
Post a Comment