Nipo kijiweni bar ya jirani hapa tunacheki world cup Brazuca..
Kuna jamaa amezua hoja nzito kwamba kamwe hawezi kuoa mwanamke anaetoka
familia ya kimaskini maana wengi wao hawana shukrani maishani..
anakwambia angalau watoto wa kishua japokuwa wavivu kazi za ndani ndogo
ndogo but wanajua kupenda na hata cheating ni ngumu sana.
But mwanamke anaetoka familia yenye dhiki wengi wao vigeu geu mwepesi
sana kubadilika badilika.. na ametoa mifano hai mingi tu ya ndoa za
tunaowafahamu..
Wadau hii mnaonaje? je kuna ukweli wowote hapo??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment