"Mapenzi ni magumu hasa kwetu sisi wasanii. Kuna wanaume wanaweza kuja
kwako ukadhani ni wema lakini baada ya kumaliza haja zao huwaoni, ndo
maana huwa sioni haja ya kujilizaliza kwa mwanaume coz akigundua
umezimika ndo kabisa atakugeuza Toilet paper ya kuchambia......
"Najua wapo wengi sana wanaonitamani, lakini kwa taarifa yao ni kwamba nipo makini sana na naitambua thamani yangu." Alisema Lulu.
Hata hivyo Lulu alisema kuwa huwa anatongozwa na wanaume wengi sana kutokana na uzuri alionao, hali inayomfanya abadili namba ya simu kila mara kukwepa usumbufu.

No comments:
Post a Comment