Wazungu wanasema picha huongea maneno elfu moja, hii ni kabla Diamond
hajanza kugeuka kuwa sukari ya warembo na wakati huo Kiba ndio akiwa
ndio talk of the town, hapa ni kabla hata mambo ya mabifu hayakuwepo,
wakati mambo yalikuwa shwari kabisa...
Ila kwa hivi sasa bado ni ndoto
kupata picha kama hii wawili hawa wakiwa pamoja...
No comments:
Post a Comment