Na Sakina Sahabani wa Xdeejayz Tanzania Katika
hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua Msanii Manaiki Sanga a.k.a The Don
ameibuka na kumuumbua vibaya msanii mwenzake Diana Kimario ambae siku
za hivi karibuni amekuwa akijitangaza kama yeye ni bkra yani hajawahi
kuguswa na mwanaume kwa kushiriki tendo la ndoa.
Jambo
hilo limepingwa vikali na Manaiki ambae anadai ameishi na Diana kama
mkewe zaidi ya mwaka na nusu huku Mamaake Diana anaeishi Manzese akiwa
shahidi namba mjoa.
|
No comments:
Post a Comment