STAA wa sinema za Kibongo, Miriam Mjolwa ‘Jini
Kabula’ amecharuka baada ya kukosolewa juu ya mavazi ya mitego, vimini,
anayovaa ndani ya mwezi wa Ramadhani.
Baada ya majirani wanaofunga kufikisha malalamiko, paparazi wetu
alimvutia waya Jini Kabula na kumsomea mashtaka hayo ambapo alisema kuwa
alikuwa lokesheni siku waliyomuona lakini pia hahofii sana kwani mwezi
huo haumuhusu.
“Hao wanaweka chumvi tu mimi sikuwepo huko mtaani nilikuwa lokesheni
tangu mwezi uanze, na hata kama nitavaa nguo za ajabu, mwezi huu
haunihusu nitavaa vyovyote nipendavyo,” alisema Jini Kabula.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment