Hao
watu wawili wanapata adabu ya kupigwa bakora huko Chake Chake Pemba kwa
sababu ya kula mchana katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Ukila mchana
kwako hakuna anayekufata lakini kula nje ni marufuku na ukipatikana na
hatia mwaka mmoja jela
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment