BAADA ya kubugizwa mabao 7-1 na Ujerumani katika mechi ya nusu
fainali ya Kombe la Dunia 2014, mashabiki wa Brazil wameamua kuchoma
moto basi.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo huko Sao Paulo nchini humo baada ya mechi hiyo iliyopigwa Belo Horizonte.
Mashabiki walichukua hatua hiyo kutokana na hasira za timu yao kuondolewa katika michuano hiyo inayofanyika nyumbani kwao.

No comments:
Post a Comment