skip to main |
skip to sidebar
DAR SASA KUMEANZA KUCHA KAMA ULAYA, ANGALIA MWENYEWE HAPA
Magari yakipita chini ya daraja la watembea kwa miguu eneo la Kimara,
Dar es Salaam, lililojengwa na Kampuni ya Ujenzi ya Strabag eneo la
Kimara katika mradi wa ujenzi wa barabara za mabasi yaendayo Kasi Dar es
Salaam.
No comments:
Post a Comment