MAPENZI YA WOLPER NA CALISAH HADHARANI!!!! ...USHAHIDI HUU HAPA
Mambo yametoka huko INSTAGRAM....Calisah ambaye ni Model aliewhi kushiriki
shindano la Mr Tanzania (2013-2014) na kushika nafasi ya 4...ameamua
kuweka wazi uhusiano wake wakimapenzi na mwanadada Wolper..japokuwa
kwaupande wake Wolper hajasema chochote hadi sasa hivi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment