GARI LILILOBEBA WAFUNGWA LAPIGWA RISASI

Screen Shot 2014-07-02 at 5.07.59 PM
Taarifa za awali zinadai kuwa Basi lililokuwa limebeba wafungwa limeshambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana eneo la Mayfair Mikocheni jijini Dar es salaam.

Basi hili lilikuwa likitokea mahakama ya Mwanzo Kawe ambapo kwasasa Basi hilo liko polisi Osterbay na wafungwa hao ndani yake.

Screen Shot 2014-07-02 at 5.08.30 PM

Screen Shot 2014-07-02 at 5.08.17 PM
Screen Shot 2014-07-02 at 5.08.10 PM
Screen Shot 2014-07-02 at 5.08.37 PM
Picha zote ni kutoka Ukurasa wa Twitter wa @Semkae

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger