Huu ni muendelezo wa story ya jana
inayomhusu TID kumtusi sana Ray C baada ya Ray C kumwambia TID katikak
intsgram kwamba aende kwa Ray C waongee maana TID ni msanii bora Afrika
Mashariki.
Baada ya Matusi ya TID kwa Ray C,
mashabiki wa muziki wamemshushia maneno (matusi) mazito TID. Maoni ya
raia hao yanaonesha kwamba TID aliitwa na Ray C ili apewe ushauri wa
kuachana na madawa ya kulevya kama alivyofanya kwa wengine ambao baadhi
wapata matibabu na wanakaribia kupona.
Kwa kutunza maadili ya tovuti yetu
hatutaweza kuyaweka maoni ya mashabiki hao yaliyojaa matusi mengi sana
kwa TID. Kama TID amebahatika kuyasoma maoni hayo atakuwa aidha
kakasirika sana au atajifunza kitu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment