Muigizaji wa filamu za kibongo Hemed Suleiman amesema yeye hana mazoea ya kutumia kinga wakati akifanya mapenzi.
Hemed
ameyasema hayo wakati alipokuwa akifanya mahojiano na mbunifu wa Single
buttons kivazi ambacho kimejizolea umaarufu sana Bongo, na mmiliki wa
blog ya mvutokwanza Martin Kadinda.
Alisema
ameshatembea na mastaa wenzake wa kike wapatao 32 hadi sasa kwa hesabu
zake za haraka haraka na kuwa kwa mastaa hao hakuna hata mmoja
aliyetumia nae kinga.
Hemedi
ambae ameendelea kujitapa kuwa yeye ndio bingwa wa kucheza na mioyo wa
mabinti wa kibongo na ndio maana wanamuita hemed PHD.
Ameendelea
kuwananga wasichana hao kuwa kutokana na kutovutiwa nao na ndio maana
huwa anapita tu,kwa kuwa huwa anakuwa na hamu ya kufanya nao mapenzi kwa
wakati huo na hasa asipokuwa na uhusiano wa maana na mtu yoyote kwa
wakati huo.
Aliongeza
miezi mitatu aliyopita alikuwa katika mahusiano na msichana mmoja
ambaye hajataka kumtaja jina, na sasa wameshaachana ila aliwahi pima
nae virusi vinavyopelekea ugonjwa wa Ukimwi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment