skip to main |
skip to sidebar
JINI KABULA: HAKUNA STAA AMBAE HAJAWAHI KUKANYAGA KWA DOKTA KAMDEGE
staa
wa filamu za kibongo nchini Miliamu Jorwa Jini Kabula amesema ameibuka
na kusema haamini kama kuna staa yeyote nchini ambae amefanikiwa
kimaisha bila kupitia kwa Dokta Kamdege kupta baraka zake.
Akiongea
na gazeti hili Miliamu Jorwa alisema kuwa" Mganga wa mstaa nchini
amewasaidia nikiwemo mimi mwenyewe na kama kuna mtu akisema hajawahi
kukanyaga kwake huyo muongo na mnafiki kabisa" Aliasema Jini Kabura
Aidha
msanii huyo anasema mganga huyo anaetibu kupitia miti shamba alimsaidia
sana wakati anaanza kupata jina kwani kulikuwa na ushindani mkubwa sana
wa kupata majina na mafanikio bila nguvu zake za ziada basi hali
ingekuwa mbaya hadi leo.
Mganga
huyo ambae anatibu maelfu ya watu kutumia miti shamba huku akiwawezesha
wengi kuwa na mafanikio kupitia sanaa, kazi, biashara nk na tayari hata
raia toka nchi za nje wamekuwa wakitua nchini na kumfuata huko aliko.
Hata
hivyo kwa sasa mganga huyo yupo Jijini Dar na watu wafanyabishara wengi
wamekuwa wakimiminika Kiwalani alikofikia kwa ajili kuwasawazishiwa
mambo yao na ameendelea kutoa uwito kwa wakazi wa Jiji la Dar kuendelea
kufika kwake kwani hana siku nyingi ataondoka kuelekea Uturuki alikoitwa
na Serikali ya huko.
Mganga
huyo anatibu magonjwa mengi tu pamoja kumsafisha mtu kupanda cheo,
kuolewa, kufanikiwa kibiashara na mambo mengine na anatibu kutumia miti
shamba na hata kama uko nje ya nchi atakusaidia ukiwa huko huko na
ametaja namba yake ya simu kwa watakaopenda kumtafuta 0788-844490 na
moja kwa moja ataongea nae.
No comments:
Post a Comment