B12, Adamu Mchomvu na Dj Fetty
YAP
UMEKWISHA: Ule mtafaruku ulioleta sintofahamu kwa mashabiki mamilioni
wa radio ya watu Clouds FM baada ya watangazaji wake mahiri B12, Adam na
Dj Fetty leo umefika tamati...
Kumbe
ishu hiyo sio halisi kama baadhi ya watu walivyokuwa wakifikiria, kwa
mujibu wa watangazaji hao kupitia kipindi cha XXL muda huu wamefunguka
kuwa ulikua ni mpango kwa ajili ya kupima kama watanzania wanaweza
kupaza sauti....!Ikiwa ni mahususi zaidi kuhamasisha kampeni hiyo...
PAZA SAUTI, UKIMYA HAUSADII...!!
PAZA SAUTI, UKIMYA HAUSADII...!!
No comments:
Post a Comment