Mtangazaji
wa GENN Radio AJ (mwenye kofia nyeusi wapili toka kulia) akimfanyia
mahojiano Diamond Platnumz ndani ya Studio ya Radio hiyo ambayo
inapatikana mtandaoni wengine ni Dj Romy Jons Poromota DMK na Dj Bston
(kulia).
Diamond
Platnumz akiendelea kujibu maswali aliyokuwa akiulizwa na AJ huku Dj
Romy Jons akifuatilia kwa makini maswali na majibu yaliyokua yakiulizwa
na AJ.
Dj Boston na AJ wakimsikiliza Diamond Platnumz wakati akijibu moja ya maswali waliyomuuliza.
Mashabiki wakiwa ndani ya studio za GENN Radio wakimsikiliza Rais wa Wasafi akijibu maswali aliyokuwa akiulizwa na AJ.
Baada ya mahojiano mashabiki nao hawakua nyuma kupata ukodak na prezda wa wasafi ndani ya studi za GENN Radio.
No comments:
Post a Comment