Chuo cha CBE DODOMA kimeendelea kutiwa najisi na baadhi ya wanafunzi
wake wasio kuwa na maadili mema baada ya mwanafunzi mmoja wa kike mwenye
picha yake huu kushoto akiwa na gauni la umiss kudaiwa kuisambaratisha
ndoa ya mfanyabishara maarufu wa kisomari Mkoani Dodoma mwenye mkwanja
wa maana na picha ya chini ni mke wa mfanyabishara huyo.
paparazi kama kawaida kazi yake ni kuirekebisha jamii na kuipasha habari bado ina malizia vielelezo vya mwisho kabla ya kuanika ishu nzima hewani .
paparazi kama kawaida kazi yake ni kuirekebisha jamii na kuipasha habari bado ina malizia vielelezo vya mwisho kabla ya kuanika ishu nzima hewani .
No comments:
Post a Comment