CHUKUA tano! Staa sinema za Kibongo, Salma Salim
‘Sandra’ amesema kuwa kutoka moyoni mwake anamkubali msanii mwenzake,
Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ baaada ya kupewa nafasi ya Ukatibu Kata
ya Bwawani, Kinondoni jijini Dar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Akipiga stori mbili tatu na mwandishi wa gazeti hili, Sandra alisema
Steve Nyerere ni mtu ambaye anaweza kuwa kiongozi mahiri kwenye sekta
mbalimbali ndiyo maana hata katika nafasi ya Mwenyekiti wa Klabu ya
Bongo Movie ameleta maendeleo.
“Uongozi wa Steve ulianza kuonekana siku nyingi ndiyo maana
wana-Bongo Movie tukamchagua na wakazi wa Bwawani nao wamempa ukamanda,”
alisema
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment