skip to main |
skip to sidebar
UWANJA MPYA WA YANGA NI SHIDAA, YAANI NI NOMA, UANGALIE HAPA
Uwanja mpya utakavyokuwa baada kujengwa Makao Makuu ya Yanga katika mitaa ya Jangwani na Twiga, Dar es Salaam.
Eneo ambapo Uwanja wa Yanga utakapojengwa uwanja huo mpya
Hali inavyokuwa kwa kugeuka bwawa Jangwani mvua inaponyesha Dar
Uwanja mpya utavyokuwa unaonekana wakati wa usiku
No comments:
Post a Comment