skip to main |
skip to sidebar
MJERUMANI LEO LAZIMA AKAE TU, ANGALIA JINSI MESSI ANAVYOUJITUMA ILI AIMALIZE MECHI MAPEMA
Watanikoma:
Mshambuliaji wa Argentina, Lionel Messi (katikati) akifanya mazoezi ya
kupiga tik tai wakati wa maandalizi ya timu yake kwa ajili ya mchezo wa
Fainali ya Kombe la Dunia Jumapili dhidi ya Ujerumani nchini Brazil.
No comments:
Post a Comment