150 WAFA KWENYE TETEMEKO LILILOTOKEA CHINA



TAKRIBANI watu 150 wamepoteza maisha huku 1,400 wakijeruhiwa baada ya tetemeko kubwa la ardhi kutokea katika Jimbo la Yunnan lililopo kusini-magharibi mwa China leo. Tetemeko hilo lililokuwa na ukubwa wa richa 6.5 limesababisha kubomoka kwa majengo yakiwemo mashule.

Waokoaji wakiwa wamembeba mtoto aliyejeruhiwa baada ya tetemeko hilo.
Jengo likiwa limeharibiwa na tetemeko hilo lililotokea leo.
Mtoto aliyepoteza maisha katika tetemeko hilo.
Uharibifu uliosababishwa na tetemeko hilo.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger