Akijibu tuhuma hizo, Mboto alisema kuwa
haoni sababu ya kuwa na bifu na Wema zaidi ya kushirikiana naye katika
kazi na hivi karibuni amempa kazi ya kumuandikia stori na makubaliano
yao yalikuwa mazuri.
“Dah! Bifu na Wema? Naanzaje kwanza? Aisee Wabongo kwa kuzusha vitu wamejaliwa, nashangaa kwani hakuna kitu kama hicho na hakijawahi kutokea,” alisema Mboto.Komediani wa Bongo, Haji Salum ‘Mboto’.
Hivi karibuni, mitandao mbalimbali ya kijamii ilieneza habari kuwa wawili hao ‘hawaivi’.
“Dah! Bifu na Wema? Naanzaje kwanza? Aisee Wabongo kwa kuzusha vitu wamejaliwa, nashangaa kwani hakuna kitu kama hicho na hakijawahi kutokea,” alisema Mboto.Komediani wa Bongo, Haji Salum ‘Mboto’.
No comments:
Post a Comment