Baada ya mahusiano mengi kuvunjika watu huwa hawapendi kuwasiliana wala
kukutana na wapenzi wao wa zamani lakini hii ni tofauti kwa mfalme wa
bongo fleva Diamond Platnumz baada ya kufanyiwa interview na mpenzi wake
wa Zamani Jokate Mwengelo. Picha hizi za Diamond na Jokate zimezua
mizozo na matusi mengi kwenye mtandao wa instgram baada ya kila mtu
kuelezea hisia zake juu ya wawili hao.
kumbuka Diamond na Jokate walimwagana mwaka 2012 na hivi ndivyo jokate
alivyosema kuhusu sababu ya kumwagana kwao kwenye moja ya mahojiano yake
:- “Mahusiano
ya diamond yalikuwa very strange, I dont know yani..i think ilikuwa
kazi lakini I guess it was a time I guess I was frustrated,sielewi yani
ilitokea tokea tu”
No comments:
Post a Comment