Tap! Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja ‘K’
anadaiwa kufumwa na mwanaume nchini China huku akisusiwa sherehe ya
bethidei yake, Ijumaa Wikienda limeinyaka.
Kwa mujibu wa kachero wa Oparesheni Fichua Maovu (OFM) aliyepiga
kambi Hong Kong, China, mwishoni mwa wiki iliyopita Kajala alionekana na
mwanaume huyo aliyetajwa kwa jina moja la Meddy kwenye pati hiyo ambayo
eti inasemekana ilihudhuriwa na watu watatu.
Ilisemekana kwamba Kajala amejibu mapigo kwa kujinyakulia kijana kwa
ajili ya kumkosha moyo na kumsafisha na skendo za waume za watu.Ijumaa
Wikienda lilipomtafuta Kajala kwa njia ya simu hakuwa hewani na hata
alipotumiwa ujumbe kwa WhatsApp hakujibu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment