Uchunguzi huu unatokana na mrejesho katika mitandao ya kijamii , hawa ndio watu maarufu wanaoongoza kwa kuchukiwa au kupotozewa imani na Watanzania hasahasa vijana..
- 1. Divah loveness love (mtangazaji clouds fm)
- 2. Ephraim kibonde (mtangazaji clouds fm)
- 3. Zitto kabwe (Mwanasiasa)
- 4. William Lukuvi (Mwanasiasa)
- 5 Mwana F.A ( Msanii)
ushauri..
wote kwa pamoja waangalie ni wapi wamekosea hadi kupata chuki hizo kwa watu na wajirekebishe , japokuwa hauwezi kupendwa na watu wote ila kuchukiwa na watu 8 kati ya 10 ni matatizo....nimeandika humu kwa sababu nawapenda na ningependa mjirekebishe
No comments:
Post a Comment