Natumaini hakuna asiye mfahamu mwigizaji huyu maarufu hapa Tz, mara kwa
mara amekuwa na skendo za hapa na pale huku magazeti yakimwandika kila
kukicha.. lakini hilo si ambalo sana nataka kulizungumzia hapa.
Mara nyingine wolper anataka kick ama anataka aandikwe kwenye vyombo vya
habari. Kipindi kidogo kimepita masanii huyu alikubwa na skendo mbaya
ya usagaji na ikapelekea vyombo vya habari kukutana naye na kumuhoji juu
ya swala hilo. Lakini kinyume na hapo wolper alikataa na kukana kuwa si
msagaji.....
Mara nyingine watu wanaweza kukujudge kwa muonekano wako, sasa Jack
amezidi kuvaa mavazi ya kiume ambapo yanapelekea hisia tofauti miongoni
mwa mashabiki mbalimbali huko Instagram. sio kwamba tunaingilia maisha
yako no ila ni katika hali ya kujenga Status yako katika jamii kama
Celebrities.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment