Habari
ndugu mdau wa blog hii,natumaini upo poa na unapendezewa na post
zetu,leo tugusie madhara ya kuruka ukuta yaani ngono ya kinyume na
maumbile. Tunapoamua kufanya jambo sio kwamba tunafuata mkumbo au
kulazimishwa bali ni our choice. Kufanya ngono kusiko a.k.a Tigo “MWIKO”
katika jamii nyingi Ulimwenguni sio kwa vile tu inamaanika kuwa ni
uchafu na inamadhara makubwa ya kimwili, kiakili na kiafya bali ni
kinyume na mafundisho ya imani zetu za Dini.
Kinachofanyika
chumbani ni uamuzi wenu ninyi wawili mnaopendana ikiwa tu mtakubaliana
na kufanya hivo na pia ni siri yako wewe na mpenzi wako, kuna wapenzi
wengi tunafanya mambo ya ajabu sana na watu tunaowapenda na tunafurahia
na tunazidi kupendana na kutakana zaidi na zaidi kila siku….lakini mambo
hayo ni “taboo” ktk jamii kama ilivyo kwa Tigo Kuna baadhi ya watu
(wake kwa waume) hujaribu na kisha wanajikuta wanafurahia na hivyo
wanaendelea na kuna wengine hutaka kujua “unajisikiaje” lakini
wanajikuta hawafurahii au mmoja wao hafurahii na hivyo wanaacha na
kutorudia tena tendo hilo la mugongo-mugongo.
Pamoja na
kuwa watu kuheshimu miiko ya dini zao, kupinga na kulisema vibaya tendo
hili wachunguzi wa mambo ya Tigo wanadai kuwa mwanamke mmoja kati ya
wanne anashiriki ngono ya nyuma (sasa hii sijui ni kuridhisha wapenzi au
ni wao wanafurahia)…….wazoefu watusaidie hapa. Ukweli kuhusu Tigo.-
Sio tendo asilia ktk swala zima la ngono na mapenzi hivyo kumbuka
unapoamua kugawa tako kuwa na uhakika ndio kitu unataka kukifanya na sio
kukifanya kwa vile “mchumba” kaomba/anataka…..wewe ndio mwenye maamuzi
makuu ya nini unataka kifanyike mwilini mwako. Kama unahisi unachokwenda
kukifanya sio “natural” na hujisikii vema kushiriki ngono Tigo basi
acha/kataa kufanya hivyo. -Mara mishipa ya Tigo ikitanuka kutokana na
kufanywa huko mara kwa mara huwa haijirudi kama ilivyo kwenye uke kwa
vile haikuumbwa kwa ajili ya shughuli hiyo. -Wengi tunaamini kuwa
kufanywa nyuma ni kwa mashoga tu lakini kuna wanawake wanafurahia kama
ilivyo ngono ya mdomo na baadhi hujigeuza kama njia mbadala ya kuzuia
mimba au kulinda bikira (zaidi ni ktk jamii ya waarabu).
Ukizoea
sana kupigwa nyuma na mishipa ya huko kutanuka, basi inasemekana kuwa
utatatizwa wakati wa kujifungua/kuzaa, si hivyo tu bali unaweza ukawa na
tatizo la kuvuja mkojo kwani hutoweza kukaza tena misuli yako ukeni
ambayo hulegea baada ya kuzaa. Swala muhimu sio kutisha watu bali
kuwaelimisha na kuwaachia wao wachague mchele upi na pumba zipi.
Ukiangalia yale yote yanayokatazwa au kuitwa miiko ndiyo yanayofanywa
zaidi kuliko yale tunayoruhusiwa kuyazungumzia na kuyatenda. ***
binafsi napinga kwa nguvu zangu zote swala la Ngono kusiko (tigo) ila na
heshimu chaguo/uamuzi wako…..wewe ndio mweye mwili na unafanya vile
utakavyo. Ushuri wa bure-Jiheshimu na thamini mwili wako…..usitoe tako
lako kama dawa ya kumfanya mume asitoke nje au akupende zaidi…..ni aibu
mumeo akikuta nyuma jamaa waliwahi pia.
No comments:
Post a Comment