SPORAH NJAU NDANI YA KASHFA NZITO...!!
Mtangazaji wa kipindi cha sporah show ametuhumiwa kwamba anapenda kukuza mabeef ya wasanii tanzania ama ni yeye kuwa na elimu ndogo ya utangazaji kiasi kwamba anakosa cha kuuliza Wadau wengi waliyasema hayo kutokana na sporah kumuita Ally Kiba na kuishiwa maswal baada amuulize naswali yanayomuhusu Ally K kakazana na Diamond weeee huyu dada vipi?mmoja wa mashabiki alikereka.Mpaka ally kiba akamwambia dada sporah why diamond??Sporah be creative
Jikumbushe stori yenyewe ilikuwa hive "Hatimaye Kwa mara ya kwanza staa ‘the big name’ wa Bongo Fleva ndani na nje ya Bongo, Ali Saleh Kiba ameibuka na kumlipua hasimu wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, hali inayotafsiriwa kwamba bifu lao sasa limefika pabaya ikidaiwa kwamba wanagombea nyota (ustaa).
Kupitia Kipindi cha The Sporah Show, usiku wa Jumanne wiki hii kwenye CloudsTV, Kiba alimchakaza Diamond ambapo alifunguka mengi ikiwemo chanzo cha ugomvi wao.
Kiba alizungumzia sosi iliyotengeneza bifu kati yake na Diamond ambapo aliulizwa kama ana namba ya simu ya msanii huyo ndipo akatiririka:
“Nilikuwa nayo kipindi fulani, nilipohisi amenikosea nikaona sina ulazima wa kuwa nayo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment