UMESHAWAHI KUSIKIA HII?? KWA NINI WASANII WENGI WA BONGO NI WAFUPI???? HAWA NI BAADHI YAO.

http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2012/03/DSC_1008.jpgNimefanya uchunguzi mdogo tu nimegundua kuwa wasanii wengi wa music Tanzania ni wafupi, sijui kwanini? Au kuna uhusiano wowote ule kati ya ufupi na kipaji? Au ndio ile theory ya kwamba watu wafupi wanapenda sana kujionyesha kwakuwa wanahisi wanadharaulika?
Wafuatao ni baadhi tu kati ya wale wengi:
1. Barnaba Boy
2. Stamina
3. Linnah
4. Sheta
5. Rich Mavoko
6. Nikki wa Pili
7. T.I.D
8. Ommy Dimpoz
9. Dully Sykes
10. Ally Kiba
11. Young Dee
12. Vanesa Mdee
KWANINI WASANII WENGI WA BONGO WAFUPI?
 
-BONGOCLANTZ

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger