Sasa hapa tunapozungumzia madem ambao wameumbika katika hidara zote
ndani na nje huko kenya ni lazima uwataje Madem hawa ambao kila kukicha
wamekuwa wakizungumziwa katika vyombo mbalimbali vya habari na
kufuatiliwa kwa karibu sana. kutokana tu na Uzuri walionao.
Kwa mujibu wa misemo mingi ya watu wengi kwamba Mwanamke akishazaa ama
kupata mtoto, kitu ambacho kinatokea ni kwamba mwanamke hupoteza uzuri
na uhalisia wa umbo lake la kawaida. sasa hawa nitakaowataja hapa ni
tayari wameshazaa lakini cha kushangaza ni kuwa Bado maumbo yao
yanaongezeka mvuto kila siku!! Kati ya wasichana hao ni pamoja na.
1. Sheila Mwanyigah
This lady has been holding it down since the days Before Ghafla and she's still got it like an 8 month pregnant lass!
2. Corazon
3. Avril
Pity she has a taste for South African cooking! That figure? Heh! It
makes sense. No questions asked! And if there are any, the answer is
Avril's figure! Who is the hottest singer? Avril's figure! Who did God's
Chosen Blogger turn to for inspiration? Avril's figure.
5. Grace Msalame
6. Vera Sidika
No comments:
Post a Comment