BAADA YA KUKAA KWA MUDA MREFU SASA MADEE AFUNGUKA KUHUSU KUOA

Hamadi Ally aka Raisi wa Manzese aka Madee
anayetamba na wimbo wake ”Ni shidaa” ikiwa pia
ndiyo msemo wa Fiesta 20014, azungumzia
mahusiano yake ikiwa umri unakwenda na
hajaweka wazi tangu kufariki mpezi wake Tunda
miaka kadhaa iliyopita.
”Ni shidaa kwa sasa ndiyo habari ya mjini kiukweli,
wakati nabadilika watu wengi walisema nitabuma
lakini nashukuru Mungu sana haijakuwa hivyo na
kwa sasa kati ya wasanii ambao wanapiga show
nyingi kwa mwaka mimi mmoja wapo.Pia
kubadilika kwangu kumenifanya niwe na mafanikio
kuliko miaka mingi nilipokuwa nafanya mziki wa
silias Hip Hop nimejifunza kudhubuti bila ya
kumuangalia yeyote yule.Ni kweli tangu kufariki
kwa mpenzi wangu Tunda sijaweka wazi
mahusiano yangu siyo kwamba sipo kwenye
mahusiano hapana, ila itakapofikia wakati kila kitu
kitakuwa wazi siyo kila kitu kiwe open kwa sasa
nimekuwa so nafanya mambo huku nikiwa najua
nina mtoto na nahitaji ajifunze vitu vizuri kutoka
kwangu.Kuoa kwa sasa bado kuna malengo yangu
bado hayajitimia unajua unapomchukua mtoto wa
watu kuna mambo mengi sana na ndoa siyo kitu
cha mchezo so bado nipo nipo sana.”

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger